1 Mei 2012 - 19:30

ABNA inatuarifu kuwa: Makundi ya waasi wa serikali ya syria wakiwa na siraha wamemvamia mgombea ubunge wa syria na kumuwa

Abdulhamiid Hassan Altwah ambaye alikuwa ni mgombea wa umbunge wa jimbo la kusini mwa Syria,amevamiwa leo na kundi la waasi wenye silaha na kuuawa akiwa katika uwanja wa Basari.

yafaa kuashiria kuwa hapo kabla waasi hao walimteka mgombea mwingine wa ubunge na wanafanya juhudi zao zoote kuhakikisha wanaharibu uchaguziujao.